HAWA NI BAADHI TU YA WANA CASFETA TAWI LA UHASIBU |
Mama Wema akihubiri kwenye ibada ya pamoja Wana CASFETA wakimchezea Mungu kwenye sifa katika ibada ya pamoja |
Mchungaji Mlezi wa CASFETA tawi la Uhasibu Abeli Manupa akiwaombea wanafunzi |
Mwenyekiti wa CASFETA tawi la Uhasibu akimkaribisha Mchungaji Abeli Manupa |
Wana CASFETA wakiwa wamezama kwenye Maombi Mwenyekiti wa Maombi CASFETA uhasibu akisikiliza neno |
Praise and worship team wakimsifu Mungu kwenye ibada ya pamoja (JOINT MASS) Mwimbaji wa nyimbo za injili Gilbert Godfrey akimtumikia Mungu kwa uimbaji |
Praise and worship team wakienda sawa kwenye Joint mass
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.